HILI NDILO GOLI LA MSIMU LA TAMBWE

Unknown | 11:34 AM | 0 comments

Yanga wameichapa Mbeya City kwa bao 2-0 kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya na kuendelea kujikusanyia pointi za kutosha kunako VPL, Yanga imefikisha jumla ya pointi 71 baada ya kucheza michezo 28 huku ikiwa imesaliwa na michezo miwili kabla ya ligi kufika tamati.

Highilights za mechi hiyi hizi hapa.

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments