REAL MADRID YAPATA USHINDI KIDUCHU

Unknown | 9:16 AM | 0 comments

Mbrazil Carlos Henrique Jose Francisco Venancio 'Casemiro' amekuwa shujaa wa Real Madrid baada ya bao lake la kichwa dakika ya 89 kuipa timu hiyo ushindi wa 2-1 dhidi ya Las Palmas katika mchezo wa La Liga usiku huu Uwanja wa Gran Canaria. Bao la wenyeji lilifungwa na Willian Jose Da Silva dakika ya 87, baada Sergio Ramos kutangulia kuifungia Real dakika ya 24 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments