PSG YAGONGA MTU BAO 9 BILA

Unknown | 9:13 AM | 0 comments

Mshambuliaji wa PSG, Zlatan Ibrahimovic akiondoka na mpira baada ya kufunga mabao manne katika ushindi wa 9-0 ugenini dhidi ya Troyes kwenye mchezo wa Ligue 1 ya Ufaransa usiku wa leo Uwanja wa Aube. Mabao mengine ya PSG yamefungwa na Edinson Cavani, Adrien Rabiot, Dreyer na Saunier aliyejifunga PICHA ZAIDI GONGA HAPA

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments