KWA MARA YA KWANZA, MAN CITY WAMEVUNJA REKODI HII

Unknown | 10:09 AM | 0 comments


Manchester city yaweka ‘record’ kwa mara ya kwanza timu hiyo inaingia hatua ya robo fainali ya michuano mikubwa barani ulaya EUFA champions league baada ya kupata sare ya 0-0

Manchester city imepata  nafasi hiyo mara baada ya kupata matokeo mazuri mchezo wa kwanza  baada ya kuifunga magoli 3-1 dhidi ya Dynamo Kiev, hivyo timu ya kwanza kutoka england msumu huu kuingia hatua hiyo


Katika hatua nyingine michuano hiyo imeendelea ambapo Attletical madrid imeingia hatua hiyo ya robo fainali mara baada ya kuiadhibu PSV Eindhoven kwa penalty 8-7

Kwa upande wa PSV mchezaji Narsingh alikosa penati na Juafran kuifungia attletical penati ya mwisho timu hizi zilitoka sare mechi zake zote mbili, mchezo huu ulichezeshwa na referee kutoka England MARK CLUTTEBBURG.

Leo Arsenal watapambana na Barcelona wakati Arsenal mchezi wa kwanza arsenal waliambulia kichapo cha magoli 2-0 huku Bayern Munich waki wakaribisha juventus.

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments