HAYA NDIO MAISHA YA STRAIKA WA YANGA DONALD NGOMA NJE YA UWANJA WA MPIRA

Unknown | 9:06 AM | 0 comments



Mshambuliaji hatari wa Yanga, Donald Ngoma anajulikana kwa uwezo wa kupachika mabao anapokuwa uwanjani.

Pia anajulikana kwa uwezo wa kusababisha usumbufu mkubwa kwa mabeki wa upinzani.

Lakini anapokuwa nje ya uwanja, mara nyingi anaonekana ni mtu anayependa kukaa karibu na familia yake.


Ngoma anaonekana ni mwenye furaha kila anapokuwa na familia yake. Picha nyingi za Ngoma alizotupia mtandaoni anaoenakana yuko uwanjani au na familia yake.

Picha kwa hisani ya Ngoma

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments