MAN U YAILIPUA ARSENAL
Mshambuliaji kinda wa miaka 18 wa Manchester United, Marcus Rashford akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia timu yake mabao mawili dakika aa 29 na 32 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Arsenal kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Old Trafford. Bao lingine la Mashetani Wekundu limefungwa na Ander Herrera dakika ya 65, wakati ya Washika Bundukin wa London yamefungwa na Danny Welbeck dakika ya 40 na Mesut Ozil dakika ya 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Category: uingereza
0 comments