Mechi 18 kali zinazotajwa kuwa na mvuto weekend ya December 5 na 6 kwa Ligi Kuu Uingereza na Hispania …
Bado siku nane tu Ligi Kuu soka Tanzania bara iweze kuendelea baada ya kusimama kwa wiki kadhaa ili kupisha maandalizi ya timu ya taifa pamoja na michuano ya Challenge inayomalizika nchini Ethiopia weekend hii, barani Ulaya Ligi Kuu Uingereza na Hispania na nyingine zinaendelea.
Kama kawaida mtu wangu wa nguvu huwa nakusogezea zile ratiba ya mechi kali kutoka Ligi Kuu Uingereza na Hispania, kwani ndio Ligi zinazoaminika kupendwa zaidi dunini kwa sasa, Uingereza Jumamosi ya December 5 na Jumapili ya December 6 zitachezwa jumla ya mechi 9 sawa na Hispania.
Ratiba ya mechi za Uingereza Jumamosi ya December 5 kwa saa za Afrika Mashariki
- Stoke Vs Man City Saa 15:45
- Arsenal Vs Sunderland Saa 18:00
- Man Utd Vs West Ham Saa 18:00
- Southampton Vs Aston Villa Saa 18:00
- Swansea Vs Leicester Saa 18:00
- Watford Vs Norwich Saa 18:00
- West Brom Vs Tottenham Saa 18:00
- Chelsea Vs Bournemouth Saa 20:30
- Newcastle Vs Liverpool Saa 19:00
Ratiba ya mechi za Ligi Kuu Hispania Jumamosi ya December 5 kwa saa za Afrika Mashariki
- Real Madrid Vs Getafe Saa 18:00
- Granada CF Vs Atl Madrid Saa 20:15
- Valencia Vs Barcelona Saa 22:30
- Deportivo de La Coruña Vs Sevilla Saa 00:00
- Real Betis Vs Celta de VigoSaa 00:05
- Real Sociedad Vs Eibar Saa 14:00
- Villarreal Vs Rayo Vallecano Saa 18:00
- Sporting de Gijón Vs Las Palmas Saa 20:15
- Ath Bilbao Vs Málaga Saa 22:30
Category: uingereza
0 comments