RONALDINHO SASA NI FULL BATA NDANI YA 'MAKLABU'
![]() |
Unamkumbuka Ronaldinho wa Barcelona, alikuwa anatisha lakini sasa
mpira umegoma anakokipiga huko Mexico.
Kiungo huyo sasa anasifika kwa kujirusha katika majumba ya stahere
ya usiku. Angalia mwenyewe.
|
Category: uingereza
0 comments