NEYMAR, SUAREZ WATUPIA NA KUIVUSHA BARCELONA FAINALI KOMBE LA MFALME
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEip7IK686IUP1-4vxbkr1XuhX7wopPg7JGdd19GZKMfHpZMvsnC33zW0L-039tRFYt_PwAqxjnExKdjyGFDdW9kfmpCKY-K45pejhiYl0W3boKunVK4AsFZCwWrzCg7ei0j7TIUnP9yO4E/s1600/2652122D00000578-2979818-Neymar_is_mobbed_by_his_team_mates_after_opening_the_scoring_aft-a-33_1425500659366.jpg)
Luis Suarez amefunga bao moja huku Neymar
akitupia mawili na kuiwezesha Barcelona kutinga katika fainali ya Kombe la
Mfalme.
Barcelona imeitwanga Villareal kwa mabao 3-1
katika mechi ya pili ya nusu fainali na kushinda kwa jumla ya mabao 6-2.
Category: uingereza
0 comments