ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA TFF
JUDICIAL ORGANS, INDEPENDENT & STANDING COMMITTEES TFF
BOARD OF TRUSTEE; Said Hamad El-Maamry, Stephen Mashishanga, Dr Ramadhan Dau, Joel Bendera, Mohamed Abdul Aziz
Kamati ya Nidhamu; Tarimba Abbas (Mwenyekiti), Advocate Jerome Msemwa (Makamu Mwenyekiti), Kassim Dau, Nassoro Duduma, Kitwana Manara.
Kamati ya Rufani ya Nidhamu; Profesa
Mgongo Fimbo (Mwenyekiti), Advocate Hamidu Mbwezeleni (Makamu
Mwenyekiti), Titus Bandawe, Twaha Mtengera, Kamishna Msaidizi wa Polisi
(ACP) mstaafu Boniface Mpaze.
Kamati ya Maadili; William
Erio (Mwenyekiti), Advocate Ezekiel Maganja (Makamu Mwenyekiti),
Advocate Victoria Mandari, Kanali mstaafu Enos Mfuru na Said Mtanda.
Kamati ya Rufani ya Maadili; Jaji
mstaafu Stephen Ihema (Mwenyekiti), Wakili Alesia Mbuya (Makamu
Mwenyekiti), Lilian Kitomari, Jabir Shekimweri na Chabanga Hassan
Dyamwale.
Kamati ya Uchaguzi; Advocate
Melchesedeck Lutema (Mwenyekiti), Advocate Walter Chipeta (Makamu
Mwenyekiti), Hamidu Mahmoud Omar, Jeremiah John Wambura, Hassan Dalali.
Kamati ya Rufani ya Uchaguzi; Advocate
Julius Lugaziya (Mwenyekiti), Advocate Mwita Waissaka (Makamu
Mwenyekiti), Juma Abeid Khamis, Rashid Dilunga, Masoud Issangu.
Kamati ya Fedha na Mipango; Wallace
Karia (Mwenyekiti), Francis Ndulane (Makamu Mwenyekiti), Omari Walii,
Eliud Mvella, Said Muhammad, Geofrey Nyange, Kidao Wilfred, Ayoub
Nyenzi, Lina Kessy, Cyprian Kuhyava.
Kamati ya Mashindano; Geofrey
Nyange (Mwenyekiti), Clement Sanga (Makamu Mwenyekiti), Msafiri Mgoyi,
James Mhagama, Mohamed Nassoro, Moses Katabaro, Seif Ahmed, Gerald Ambi,
Davis Mosha, Said George, Nassoro Idrissa (Mshauri wa Rais Ufundi-
Pelegrinius Rutayuga).
Kamati ya Ufundi; Kidao
Wilfred (Mwenyekiti), Athumani Kambi (Makamu Mwenyekiti), Vedastus
Lufano, Blassy Kiondo, Rahim Kangezi, Patrick Kahemele, Daud Yassin,
Nicholas Mihayo, Dk. Cyprian Maro (Mshauri wa Rais Ufundi- Pelegrinius
Rutayuga).
Kamati ya Mpira wa Miguu wa Vijana; Ayoub
Nyenzi (Mwenyekiti), Khalid Abdallah (Makamu Mwenyekiti), Ali Mayay,
Mulamu Ng’hambi, Apollo Kayungi, Said Tully, Luteni Kanali Charles
Mbuge, Lameck Nyambaya, Ibrahim Masoud (Mshauri wa Ufundi wa Rais-
Pelegrinius Rutayuga).
Kamati ya Mpira wa Miguu wa Wanawake; Lina Kessy (Mwenyekiti), Shyrose Bhanji (Makamu Mwenyekiti), Zena Chande, Amina Karuma, Dk. Cecilia Makafu, Zafarani Damoder, Beatrice Mgaya, Sofia Tigalyoma, Martin Mung’ong’o, Ingridy Kimaro.
Kamati ya Waamuzi; Saloum
Umande Chama (Mwenyekiti), Nassoro Said (Makamu Mwenyekiti), Charles
Ndagala (Katibu), Riziki Majala, Kanali Isaro Chacha, Paschal Chiganga,
Victor Mwandike, Soud Abdi, Zahra Mohamed.
Kamati ya Habari na Masoko; Hamad
Yahya Juma (Mwenyekiti), Naibu Waziri January Makamba (Makamu
Mwenyekiti), Tido Mhando, Yusuf Manji, Yusuf Bakhresa, Samwel Nyalla,
Jack Gotham, Fredrick Mwakalebela, Juma Pinto.
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji; Advocate
Richard Sinamtwa (Mwenyekiti), Advocate Moses Kaluwa (Makamu
Mwenyekiti), Zacharia Hans Poppe, Hussein Mwamba, Philemon Ntahilaja,
Abdul Sauko, Imani Madega.
Kamati ya Ukaguzi wa Fedha; Ramadhan
Nassib (Mwenyekiti), Zitto Kabwe (Makamu Mwenyekiti), Nicholas
Magarinza, Jackson Songora, Epaphra Swai, Kalilo Samson, Goodluck Moshi,
Golden Sanga, Elias Mwanjala.
Kamati ya Tiba; Dk.
Paul Marealle (Mwenyekiti), Dk. Fred Limbanga (Makamu Mwenyekiti), Dk.
Mwanandi Mwankemwa, Dk. Nassoro Matuzya, Dk. Eliezer Ndelema, Asha
Sadick.
Kamati ya Mpira wa Miguu wa Ufukweni; Ahmed
Idd Mgoyi (Mwenyekiti), Shaffih Kajuna Dauda (Makamu Mwenyekiti),
Boniface Pawasa, Deo Lucas, Juma Mgunda, John Kanakamfumu, John
Mwansasu.
AD HOC COMMITTEES
Kamati ya Kutathimini Muundo wa Ligi; Dk. Mshindo Msolla (Mwenyekiti),Idd Mshangama (Katibu), Rahim Kangezi, Amri Said, Sunday Manara, Salim Bawazir, Lucas Kisasa.
Kamati ya Kutathimini Muundo wa Bodi ya Ligi; David Nchimbi (Mwenyekiti), Edwin Kidifu, Jones Paul, Evans Aveva, John Jambele, Masoud Sanani, Pelegrinius Rutayuga.
Category: tanzania
0 comments