Cristiano Ronaldo alipoionyesha tuzo ya Ballon d’Or mbele ya mashabiki zaidi ya 80,000 wa Real Madrid
Mchana wa leo katika dimba la Santiago Bernabeu mwanasoka bora wa dunia, Cristiano Ronaldo aliionyesha kwa mara ya kwanza tuzo yake ya Ballon D’or kwa mashabiki zaidi ya 80,000 waliojazana katika uwanja wa nyumbani wa Real Madrid.
Ronaldo alishinda tuzo hiyo akiwapiku Lionel Messi na Frank Ribery ambaye alikuwa akipewa nafasi kubwa ya kushinda pia.
Category: uingereza
0 comments