CHELSEA YAIPIGA CHINI LIVERPOOL NA KUFANIKIWA KUMSAJILI MSHAMBULIAJI WA FC BASLE MOHAMMED SALAH.
Klabu ya Chelsea imefanikiwa kuipiku Liverpool na
kumsajili mshambuliaji wa klabu ya Fc Basle ya nchini Uswizi raia wa
Misri,Mohammed Salah kwa ada ya uhamisho ya paundi milioni 1.
Salah maarufu kama Messi wa Misri kwa muda mrefu
alikuwa akiwaniwa na Liverpool.
Category: uingereza
0 comments