CAF YAIPANGA AZAM IKAANZIE MSUMBIJI

Unknown | 10:22 PM | 0 comments




Azam FC ya Tanzania ambayo ilishika nafasi ya pili msimu uliopita itaanza michuano ya Kombe la Shirikisho kwa kucheza na FerroviƔrio da Beira ya Msumbiji.

Kama itafanikiwa kuvuka dhidi ya Wamakonde hao wa Msumbiji, basi Azam FC inayonolewa na kocha kutoka Cameroon itakutana na Zesco ya Zambia.
Kwa upande wa Zanzibar, wawakilishi wa kisiwa hicho katika michuano ya Shirikisho ni Chuoni na wamepangwa kuanzia ugenini dhidi ya How Mine ya Zimbabwe.
Kombe la Shirikisho
Azam        Vs     FerroviĆ”rio da Beira
Februari 7-9, marudio Februari 14-16
How Mine  Vs Chuoni
Februari 7-9, marudio Februari 14-16

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments