KAMATI YA MASHINDANO YA MICHEZO KWA SHULE ZA SEKONDARI AFRIKA MASHARIKI YAKUTANA!!
Mkurugenzi
Msaidizi Idara ya Michezo sehemu ya Miundombinu Bw. Makoye Nkenyenge
akifafanua jambo mbele ya kamati ya mashindano ya michezo kwa shule za
sekondari Afrika Mashariki( hawapo pichani) walipotembelea Uwanja wa
Taifa kwa ajili ya kufanya tathmini ya uwezekanop wa Tanzania kuwa
mwenyeji wa mashindano hayo mwakani. 
Rais
wa Shirikisho la Michezo kwa Shule za Sekondari Afrika Mashariki
(FEASSSA) Bw. Mugisha Justus akisisitiza jambo mbele ya kamati ya
mashindano ya michezo kwa shule za sekondari Afrika Mashariki( hawapo
pichani) walipotembelea Uwanja wa Taifa kwa ajili ya kufanya tathmini ya
uwezekanop wa Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano hayo mwakani. 
Katibu
Mkuu wa Shirikisho la Michezo kwa Shule za Sekondari Afrika Mashariki
(FEASSSA) Bw. David Ngugi akifafanua jambo mbele ya kamati ya mashindano
ya michezo kwa shule za sekondari Afrika Mashariki( hawapo pichani)
walipotembelea Uwanja wa Taifa kwa ajili ya kufanya tathmini ya
uwezekanop wa Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano hayo mwakani.
Mkurugenzi
Msaidizi Idara ya Michezo sehemu ya Miundombinu Bw. Makoye Nkenyenge
(kushoto) akiteta jambo na Katibu wa Uhamasishaji wa Shirikisho la
Michezo kwa Shule za Sekondari Afrika Mashariki (FEASSSA) Bw. Vitalis
Kulindwa Shija aliyevaa koti walipotembelea Uwanja wa Taifa kwa ajili ya
mazungumzo kuhusu Tanzania kuwa mwenyeji wa mashinda ya Shirikisho hilo
hapo mwakani. 
Mkurugenzi
Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo sehemu ya Miundombinu Bw. Makoye
Nkenyenge watatu kutoka kushoto waliokaa, akiwa katika picha ya pamoja
na wajumbe wa kamati ya Shirikisho la Michezo kwa Shule za Sekondari
Afrika Mashariki na baadhi ya wafanyakazi wa Idara ya Michezo kutoka
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.
Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini -WHVUM
Category: tanzania
0 comments