MAN UNITED YAITANDIKA ASTON VILLA 3-0
KLABU
ya Manchester United imezinduka baada ya kuibuka na ushindi wa mabao
3-0 dhidi ya Aston Villa Uwanja katika Ligi Kuu ya England jioni ya leo.
Shukrani
kwao Danny Welbeck aliyefunga mabao mawili kipindi cha kwanza dakika za
15 na 17 naTom Cleverley aliyefunga la tatu dakika ya 52.
Kocha David Moyes wa Man United aliingia kwenye mechi hiyo akitoka kupoteza mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu.
Shujaa wa leo: Danny Welbeck (kulia) amefunga mabao mawili leo Manchester United ikibwaga Aston Villa

Doubling up: Welbeck slides home to increase United's advantage as they return to winning ways

Clever boy: Tom Cleverley added gloss to the scoreline with a third United goal in the second half

Pleased as punch: Tom Cleverley celebrates wildly after stretching United's lead on Sunday

Temper, temper: Welbeck (obscured) clashes with Nathan Baker before the pair were booked

Up in the air: Matthew Lowton challenges Wayne Rooney as Villa suffer another defeat at home

Welcome return: Darren Fletcher made his first Premier League appearance since last Boxing Day

Sidelined: Scotland midfielder Fletcher has struggled to overcome a chronic bowel condition
Category: uingereza
0 comments