LIVERPOOL YAIFUNGA CARDIFF CITY 3-1,SUAREZ AFUNGA MAWILI BAADA YA KUSAINI MKATABA MPYA LEO
Raheem Sterling 42' • Luis Suárez 45'Luis Suárez 25'Bao jingine la Liverpool lilifungwa na Raheem Sterling baada ya kutengenezewa na Suarez.
Mambo magumu kwa kocha wa Cardiff Malky Mackay
Ushindi
huu umewafanya Liverpool wakamate usukani wa Ligi wakiwa Pointi 1 mbele
ya waliokuwa Vinara Arsenal ambao wana Mechi moja mkononi watakayocheza
Uwanjani kwao Emirates Jumatatu Usiku na Chelsea.
Vincent Tan
Glen Johnson kwenye patashika kuutafuta mpira
Mackay akitoa maelekezo kwa timu yake mbele ya mashabiki
Philippe Coutinho akifanya mambo yake
Luis Suarez akionesha kiwango chake hapa
Chezea Suarez wewe!
Majanga....Suarez akishangilia baada ya kuiua Cardiff
Suarez akituma salaam kwa mashabiki
Mackay kazi unayoooo!!
Raheem Sterling akifanya 2-0
mpaka nyavuni...
Muda mbona unakimbia sana...
Wauaji leo!!
Kidogo leo nitupie Hat-trick..
Kimenuka!!
Rafiki yangu mambo vipi!!!
Sterling chini...
Kibarua kisipoota majani leo sijuhi...
Raha sina leo ...mashabiki nao ndio hivyooo!!!Category: uingereza


0 comments