IVO MAPUNDA NA DONALD MUSOTI WAJIUNGA RASMI NA SIMBA SC


Ivo
aliiongoza Kilimanjaro Stars kufika Nusu Fainali ya Challenge baada ya
kuwatoa waliokuwa mabingwa watetezi Uganda ‘The Cranes’ kwa penalti 3-2
kufuatia sare ya 2-2 ndani ya dakika 90, kipa huyo akicheza mikwaju
miwili.
Ivo
alisema kwamba ameamua kusaini timu hiyo yenye makao makuu mtaa wa
Msimbazi baada ya kuridhishwa na maslahi aliyopewa.Ivo alisema kwamba
Simba SC ni timu kubwa na anaamini atafanya vizuri. Ivo pia amewahi
kuidakia Yanga SC
Category: tanzania
0 comments