HELIKOPTA YATUA UWANJA WA MPIRA BAADA YA VURUGU KUBWA MPIRANI JANA LIVE!!
HELIKOPTA ilitu uwanjani kubeba majeruhi baada ya kutokea vurugu katika mechi ya soka Brazil jukwaani baina ya mashabiki.
Mchezo kati Atletico PR na Vasco da
Gama, ulisimamishwa Jumapili baada ya mashabiki kuanza kupigana wenyewe
kwa wenyewe. Mashabiki waliokuwa wanapigana ilibidi watenganishwe na
Polisi wa kutuliza ghasia kwa kuwafyatulia mabomu.
Mchezo huo ukaanza tena baada ya saa moja na dakika 10 za kusimama kupisha vurumai.
Tukio hili ni baya kwa Brazil, na litaifanya nchi hiyo ijipange kwa matukio ya aina hiyo wakati wa Fainali za Kombe la Dunia.

Hatari: Vurugu zilizotokea jukwaani baina ya mashabiki zilisababisha helikopta itue kuchukua majeruhi

Mashabiki waliojeruhiwa wakibebwa kupelekwa kwenye helikopta

Wanatenganishwa: Polisi waliwafyatulia mabomu mashabiki ili kuwatenganisha

Mashabiki wa Atletico wakimtimba mateke shabiki wa Vasco da Gama

Hofu: Binti aliyeshika mpira akilia wakati wa vurugu hizo

Helikopta ilitua uwanjani kuokoa majeruhi

Mashabiki wakichukuliwa ajili ya huduma ya kwanza baada ya kuumia

Hii ni kuashiria tahadhari kubwa inapaswa kuchukuliwa wakati wa Kombe la Dunia

Shocked: Luiz Alberto said that he saw a young person being hit with blocks of wood and kicked

Brutal scenes: The match was, astonishingly, restarted after an hour and ten minute break

Intervention: Police fire rubber bullets and try to drag the injured man away
Category: uingereza
0 comments