Huu ndio mpira utakaotumika Kombe la Dunia 2018

8:14 PM | Comments (0)

Wakati zimebaki siku chache kukamilika kwa idadi ya timu zitakazoshiriki Kombe la Dunia nchini Russia, mpira utakaoutumika umejulikana.Huu ni Telstar 18 evokes ambao...

Soma zaidi

Cristiano Ronaldo anyakua tuzo nyingine tena

3:39 PM | Comments (0)

 England. Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia wa Fifa 2017 baada ya kuwapiku wachezaji Lionel Messi na Neymar katika kipengele...

Soma zaidi

Hii ndio orodha ya Mabeki 10 ghali zaidi duniani

12:36 PM | Comments (0)

KYLE WALKER HATUA ya Tottenham kukamilisha usajili wa beki Davinson Sanchez, kumemfanya mlinzi huyo kuwa ingizo jipya katika orodha ya mabeki 10 ghali zaidi...

Soma zaidi

Yanga yaendeleza rekodi Ligi Kuu

12:33 PM | Comments (0)

WAKATI jumla ya mabao 19 yamefungwa kwenye mechi za raundi ya kwanza ya ligi hiyo iliyoanza juzi na kuendelea jana, Yanga imeendeleza rekodi...

Soma zaidi

Haya ndio majina ya makocha watakaowania tuzo ya kocha bora wa mwaka 2017.

4:00 PM | Comments (0)

Shirikisho la mpira wa miguu duniani (FIFA) limetangaza majina ya makocha kumi watakaowania tuzo ya kocha bora wa mwaka 2017.Katika kinyang’anyiro cha kuwania...

Soma zaidi

Orodha ya timu 10 zenye thamani ya juu Duniani

4:15 PM | Comments (0)

Orodha ya timu 10 zenye thamani ya juu duniani: 1. Dallas Cowboys $4.2bn (£3.26bn) American football 2. New York Yankees $3.7bn (£2.87bn) baseball...

Soma zaidi

Simba uso kwa uso na Yanga

10:19 AM | Comments (0)

Yanga ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara watani zao mabingwa wa Kombe la FA, Simba watakutana katika mechi ya kuwania Ngao...

Soma zaidi

Madrid watangaza dau la kumuuza Ronaldo

7:01 AM | Comments (0)

REAL MADRID imesema inaweza kupokea Paundi milioni 350  ambazo ni sasa na Sh. Trilioni 1.3 ili kumruhusu mchezaji wao Cristiano Ronaldo kuondoka  klabuni...

Soma zaidi

Ratiba kamili ya Chelsea fc msimu wa 2017/2018

8:31 AM | Comments (0)

Baada ya msimu uliopita Chelsea kubeba taji la ligi kuu nchini Uingereza, leo ratiba mpya imetoka ya msimu ujao wa ligi huku Tottenham...

Soma zaidi

Ratiba kamili ya Arsenal msimu wa 2017/2018

8:28 AM | Comments (0)

Mashabiki wa Arsenal wamekosa raha kwani ubingwa wa ligi kuu Uingereza umekuwa mgumu sana kwao, baada ya Wenger kupewa mkataba mpya pengine katika...

Soma zaidi