RATIBA KAMILI KOMBE LA MAPINDUZI

Unknown | 7:04 AM | 0 comments




30/12/2016  Taifa ya Jang'ombe vs Jang'ombe Boys saa 2:30 usiku.

1/1/2017 KVZ VS URA Saa 10:00 alasiri
Simba vs Taifa ya Jang'ombe saa 2:30 usiku
.
2/1/2017 Azam vs Zimamoto saa 10:00 alasiri
Yanga vs Jamhuri saa 2:30 usiku.

3/1/2017 Jang'ombe Boys vs URA saa 10:00 alasiri
KVZ vs Simba saa 2:30 usiku.

4/1/2017 Zimamoto vs Yanga saa 10:00 alasiri
Jamhuri vs Azam saa 2:30 usiku.

5/1/2017 KVZ vs Jang'ombe Boys saa 10:00 alasiri
Simba vs URA saa 2:30 usiku.

6/1/2017  Taifa ya jang'ombe vs KVZ saa 2:30 usiku.

7/1/2017  Jamhuri vs Zimamoto saa 10:00 alasiri
Yanga vs Azam saa 2:30 usiku.

8/1/2017 Simba vs Jang'ombe Boys saa 10:00 alasiri
Taifa ya jang'ombe vs URA 2:30 usiku.

10/1/2017    Saa 10: 00 nusu fainal ya kwanza ,  Saa 2:30 nusu fainal ya pili.

13/1/2017         FAINAL    saa 2: 30 usiku.

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments