Hiki hapa kikosi cha Taifa Stars kitakachoivaa Zimbabwe Novemba 13
Kocha mkuu wa Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa ameweka hadharani kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania kitakachowavaa Zimbambwe Novemba 13.
Deogratias Munishi , Aishi Manula, na Said Kipao.
Mabeki
Erasto Nyoni, Mohammed Hussein, Haji Mwinyi, Andrew Vicent, David Mwantika, James Josephat, Michael Aidan
Viungo
Himid Mao, Jonas Mkude, Mohamed Ibrahim, Muzamir Yasin, Simon Msuva, Shiza Kichuya, Jamal Mnyate, Abdulrahman Musa
Washambuliaji
John Bocco, Ibrahim Ajib, Mbwana Samatta, Thomas Ulimwengu, Elias Maguri, Omar Mponda
Category: tanzania
0 comments