Matokeo ya mechi za jana Barani Ulaya
Mechi kadhaa za kuwania kufuzu kwa fainali za kombe la dunia mwaka 2018 nchi Russia zinazidi kupigwa katika weekend hii ambayo ligi mbalimbali zimesimama kupisha mechi hizo ambazo ziko katika kalenda ya FIFA.
Barani Ulaya jana Cristiano Ronaldo akirejea kikosini tangu alipoumia katika fainali za Euro 2016 na kufanikiwa kufunga mabao manne katika ushindi wa bao 6-0 walioupata Ureno dhidi ya Andorra.
Tumekuwekea hapa matokeo ya mechi zote za jana pamoja na highlights za mchezo huo wa Ureno na Andorra.
KUFUZU KOMBE LA DUNIA - ULAYA
KUNDI A● France 4-1 Bulgaria
● Luxemborg 0-1 Greece
● Uholanzi 4-1 Belarus
KUNDI B
● Hungary 2-3 Uswiss
● Latvia 0-2 Farao Island
● Ureno 6-0 Andorra
KUNDI H
● Belgium 4-0 Bosnia
● Estonia 4-0 Gilbratar
● Greec 2-0 Cyprus
KUFUZU KOMBE LA DUNIA - AFRICA
KUNDI E● Ghana 0-0 Uganda
Higlights Ureno vs Andorra
Category: uingereza
0 comments