Haya hapa matokeo na wafungaji wa mechi za jana za Barani Ulaya
Jumla ya mechi 7 zimechezwa leo Jumamosi katika ligi kuu ya England huku jumla ya magoli 22 yakiwekwa kimiani katika mechi zote hizo.
Mabingwa watetezi Leicester City walikubali kichapo cha bao 3-0 toka kwa Chelsea pale darajani wakati Arsenal wakishinda bao 3-2.
Haya hapa matokeo na wafungaji katika mechi zote za leo Jumamosi
● Chelsea 3-0 Leicester City
- Diego Costa 7'
- Eden Hazard 33'
- Victor Moses 80'
● AFC Bournemouth 6-1 Hull City
⚽ Charlie Daniels 5'
- Ryan Mason 24'
⚽ Steve Cook 41'
⚽ Junior Stanslaus 45', 65'
⚽ Callum Wilson 83'
⚽ Dan Gosling 88
● Arsenal 3-2 Swansea
⚽ Theo Walcot 26', 33'
- Gylfi Sigurdsson 38'
⚽ Mesuit Ozil 57'
- Borja Baston 66'
● Man City 1-1 Everton
- Romelu Lukaku 64'
- Nolito 72'
● Stoke City 2-0 Sunderland
- Joe Allen 8' 45'
● West Brom 1-1 Tottenham
- Nacer Chadli
- Delle Alli
● Crystal Palace 0-1 West Ham
- Manuel Lanzini 19'
Category: uingereza
0 comments