Matokeo ya mechi zote za jana zilizochezwa Barani Ulaya
Matokeo Barani Ulaya
● Manchester City imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya wenyeji wao Manchester United katika dimba la Old Trafford.
● Celtic ndiyo walioibuka na ushindi dhidi ya Rangers katika moja baina ya Mechi za upinzani wa jadi. Celtic ikishinda bao 5-1.
● Arsenal imeibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Southampton,Tottenham ikaifunga Stoke City bao 4-1,Crystal Palace ikaifunga Middlesbrough bao 2-1.
● Huko Spain leo Atletico Madrid wameshinda 4-0 Wakiwafunga Celta Vigo, Real Madrid ikaifunga Osasuna bao bao 5-2 wakati Barcelona wakapigwa bao 2-1 na wageni katika ligi Alaves.
● Nchini Italia Mabingwa watetezi Juventus waliilaza Sassuolo bao 3-1 wakati Napoli wakaifunga Palermo 3-0.
Category: uingereza
0 comments