Hii hapa ratiba ya mechi kali zote za leo Barani Ulaya
Ligi kuu ya England,Spain, Ujerumani na ile ya Ufaransa leo zitarindima kwa baadhi ya michezo kuchezwa.
www.wapendasoka.com tumekuwekea hapa ratiba kamili kwa mechi za leo katika muda wa Hapa nyumbani.
•••English Premier League•••
10:00 PM - Everton vs Crystal Palace
•••Spanish Primera DivisiĆ³n•••
9:45 PM - Real Sociedad vs Real Betis
•••German Bundesliga•••
9:30 PM - RB Leipzig vs FC Augsburg
•••French Ligue 1•••
9:45 PM - Stade Rennes vs Guingamp
Category: uingereza
0 comments