Haya hapa matokeo yote ya mechi za jana za Europa League
Jumla ya timu 48 zilishuka dimbani jana katika hatua ya makundi ya michuano ya Europa League msimu huu na haya ndiyo matokeo katika makundi yote.
KUNDI A
- Feyenoord 1-0 Manchester United
- Zorya 1-1 Fenebahce
- Young Boys 0-1 Olimpiacos
- APOEL 2-1 Astana
- Mainz 05 1-1 Saint Ètienne
- Anderletch 3-1 Qabala
- Maccabi TA 3-4 Zenit
- AZ Alkmaar 1-1 Dundalk
- Astra 2-3 Austria Wien
- Victoria Plzen 1-1 AS Roma
- Rapid Wien 3-2 Genk
- Sassuolo 3-0 Athletic Bilbao
KUNDI G
- Panathinaikos 1-2 Ajax
- Standard Liege 1-1 Celta Vigo
KUNDI H
- Braga 1-1 Gent
- Konyaspor 0-1 Shakhtar Donetsk
KUNDI I
- Nice 0-1 Schalke 04
- Salzburg 0-1 FC Krasnodar
KUNDI J
- Qarabag FK 2-2 Slovan Liberec
- PAOK 0-0 Fiorentina
KUNDI K
- Inter Milan 0-2 Hapoel Beer Sheva
- Southampton 3-0 Sparta Prague
KUNDI L
- Osmanlispor FK 2-0 Steau Bucuresti
- Villareal 2-1 FC Zuerich
Category: uingereza
0 comments