RONALDO ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA BARANI ULAYA

Unknown | 7:13 AM | 0 comments

Nahodha wa Ureno na mshambuliaji wa Real Madrid ameshinda tuzo ya mchezaji bora barani ulaya.


Ronaldo amewashinda Gareth Bale na Antonio Griezman katika kinyang'anyiro hicho ikichangiwa kwa kiasi kikubwa na mafanikio aliyopata Msimu uliopita.

Kwa upande wa wanawake tuzo hiyo imeenda kwa mshambuliaji wa kimataifa wa Norway na klabu ya wanawake ya Olimpic Lyon ya Ufaransa Ada Hegerberg.

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments