RATIBA KAMILI YA MECHI ZA LEO VPL ... SIMBA KIBARUANI LEO
Uhondo wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara unaendelea leo kwa mechi kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali nchini Tanzania.
Azam FC wao watakua katika uwanja wao wa nyumbani kuwakabili Majimaji ya Songea mchezo unaotarajiwa kupigwa Usiku.
RATIBA KAMILI YA MECHI ZOTE ZA LEO
- JKT Ruvu vs Simba
- Azam fC vs Maji maji FC
- Mbao FC vs Mwadui FC
- Kagera Sugar vs Stand United
- Mtibwa Sugar vs Ndanda FC
- Prisons FC vs Ruvu Shooting
Category: tanzania
0 comments