HII HAPA MICHOMO HATARI 10 ILIYOWATOKA MAKIPA NA KUOKOLEWA NA MABEKI
Mtu wangu wa nguvu ambaye unapenda mchezo wa mpira wa miguu, naomba nikukutanisha na mashambulizi hatari ndani ya mchezo wa soka yaliofanikiwa kuokolewa dakika za mwisho na mabeki baada ya golikipa kupitwa, haya ni mashambulizi ambayo mabeki wameokoa katika position ambazo asilimia kubwa inaaminika kuwa mpira utaingia wavuni.
Category: uingereza
0 comments