YANGA, AZAM HAKUNA MBABE
Dk 88; Simon Msuva anakosa bao la wazi akiwa uso kwa uso, shuti lake jepesi linaokolewa na kipa wa Azam, Aishi Manula inakuwa kona, lakini hainamadhara. bado matokeo ni 2-2.
Dakika 82, Tambwe anatoka, nafasi yake inachukuliwa na Pato Ngonyani. matokeo bado Yanga 2-2 Azam
Dakika 72: Gooooooooo John Bocco anawapatia bao la pili Azam, akimalizia pasi ya Kipre Tchetche. Yanga 2-2 Azam
Kipindi cha pili kimeanza. Matokeo bado Yanga 2-1 Azam
Mpira ni Mapumziko Yanga 2- 1 Azam
Dakika ya 49: Ngoma anatoka nje kaumia
Dakika ya 45: zimeongezwa dakika 4
Dakika ya 41: Gooooooo Tambwe Yanga 2- Azam 1
Dakika ya 35 Kkipindi cha kwanza Yanga 1- 1 Azam
Dakika ya 29: Juma Abdul anasawazisha makosa yake kwa kuisawazishia timu yake ya Yanga goli. Dakika ya 29 ya kipindi cha kwanza, Azam 1-1 Yanga.
Dakika ya 19: Aishi Manula na Shomari Kapombe wanaokoa goli kwa ustadi katika lango la Azam. Azam 1-0 Yanga
Dakika ya 11 Goooo.. Kazi nzuri ya Kipre Tchetche inasababisha Juma Abdul kujifunga na kuipa Azam uongozi dhidi ya Yanga katika dakika ya 11. Azam 1-0Credit: Salehejembe blog
Category: tanzania
0 comments