TANZANIA YAPANDA VIWANGO VYA FIFA

Unknown | 1:18 PM | 0 comments

 Hii ni kwa kila binadamu ambaye damu yake ina chembechembe za mapenzi ya soka la wanaume duniani, list ya viwango vipya vya soka ulimwenguni imetangazwa March 3 2016, FIFA imetangaza viwango hivyo vya FIFA na nchi ya Ubelgiji ambayo anacheza soka la kulipwa mtanzania Mbwana Samatta ipo nafasi ya kwanza ikufuatiwa na Argentina. tazama list hapa chini.


Kwa upande wa Tanzania ipo nafasi ya 125 ukilinganisha na miezi miwili nyuma ilikuwa 126 huku kwa upande wa nchi za Afrika Mashariki Uganda imeendelea kuongoza kwa kushika nafasi ya 67 , Rwanda ipo nafasi ya 85 na Kenya ipo 103 a

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments