BARCA YAUA MTU ... MESSI AKOSA PENATI

Unknown | 11:16 PM | 0 comments

Wachezaji wa Barcelona wakishangilia ushindi wao wa 6-0 dhidi ya Getafe katika mchezo wa La Liga jioni ya leo Uwanja wa Camp Nou. Katika mchezo huo ambao Mwanasoka Bora wa Dunia, Lionel Messi alikosa penalti kabla ya kufunga baafaye, mabao mengine ya Barca yamefungwa na Juan Rodriguez aliyejifunga, Munir, Neymar mawili na Arda Turan PICHA ZAIDI GONGA HAPA

No comments:

POST A COMMENT

Note: Only a member of this blog may post a comment.
Pages 22123456 »

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments