MSIMAMO WA LIGI KUU YA UINGEREZA ULIVYO SASA MARA BAADA YA MECHI ZA JANA

Unknown | 6:51 AM | 0 comments

Usiku wa February 2 ilichezwa michezo kadhaa ya Ligi Kuu Uingereza, hii inatokana na weekend haikuchezwa na kulikuwa na michezo ya Kombe la FA, February 2 ilichezwa michezo nane ya Ligi. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee matokeo ya mechi zenyewe na video za magoli ya baadhi ya mechi.
Matokeo ya mechi za Ligi Kuu Uingereza February 2
  •  Arsenal 0 – 0 Southampton
  • Leicester City 2 – 0 Liverpool
  • Norwich City 0 – 3 Tottenham Hotspur
  • Sunderland 0 – 1 Manchester City
  • West Ham United 2 – 0 Aston Villa
  • Crystal Palace 1 – 2 AFC Bournemouth
  • Manchester United 3 – 0 Stoke City
  • West Bromwich Albion 1 – 1 Swansea City
Msimamo wa Ligi Kuu Uingereza ulivyo sasa
ligi
Unataka

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments