MECHI KALI ZA LEO NA MATOKEO YOTE YA MECHI ZA LEO YAPO HAPA ....

Unknown | 6:24 PM | 0 comments

Ligi Kuu ya Ubelgiji inaendelea leo February 28 kama kawaida, ila kwa upande wa timu inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta itakuwa na mtihani wa kucheza na vinara wa Ligi hiyo, Club Brugge katika mchezo utakaochezwa saa 16:30 leo February 27.
Screenshot_2016-02-28-13-43-20-1Screenshot_2016-02-28-13-43-26-1
Ligi Kuu Uingereza inaendelea leo kwa michezo kadhaa kupigwa, ila mchezo kati ya Man United dhidi ya Arsenal ndio mchezo ambao unapewa nafasi ya kupata watazamaji wengi February 28. Hizi ndio takwimu za timu hizo.
Screenshot_2016-02-28-13-44-07-1Screenshot_2016-02-28-13-44-10-1
Na mwisho mtu wangu naomba nikusogezee takwimu za mechi ya fainali ya Kombe la Ligi kati ya Liverpool dhidi yaMan  City 
Screenshot_2016-02-28-13-43-49-1 (1)
U

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments