BARCELONA YAZIDI KUPAA ... YATINGA FAINALI KOMBE LA MFALME HISPANIA
Beki wa zamani wa Arsenal, Thomas Vermaelen wa Barcelona (kushoto) akienda chini baada ya kuchezewa rafu na Santi Mina wa Valencia katika mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya Kombe la Mfalme usiku huu Uwanja wa Mestalla. Timu hizo zimetoka 1-1, bao la Valencia likifungwa na Alvaro Negredo daki ka ya 39, kabla ya Wilfrid Kaptoum kuisawazishia Barca zikiwa zimebaki dakika tano, Barca imetinga fainali ya Copa del Rey kwa ushindi wa jumla wa 8-1 baada ya awali kushinda 7-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Category: uingereza
0 comments