MEMPHIS DEPAY AFANYA MAAMUZI MAGUMU NDANI YA OLD TRAFFORD

Hiyo ni
jezi ya heshima kwa Old Trafford ambapo iliwahi kuvaliwa na masupastaa
waliochezea klabu hiyo wakiwemo George Best, Bryan Robson, Eric Cantona,
David Beckham, Cristiano Ronaldo na Angel di Maria.

Hata hivyo kocha wa United, Louis van Gaal bado hajatoa namba katika kikosi chake.
Category: uingereza
0 comments