TAARIFA NJEMA KWA MAN UNITED JUU YA VAN PERSIE
Unknown |
8:45 AM |
0
comments
Alipoulizwa
kwamba Van Prsie huenda akaondoka na anatafuta timu yenye uwezo wa
kulipa pauini milioni 12 kufidia mkataba wake wa miezi 12 iliobaki
kwenye mkataba wake, Kees Voss alisema: “Kama Robin angekuwa amepata
timu mpya tungeshaitangaza. Na kwasasa nipo Uholanzi”.
Kilakitu
kitategemea kama United watamsajili mshambuliaji mwingine, mshambuliaji
wa Argentina na klabu ya Napoli Gonzalo Higuai na Edinson Cavan ambaye
ni mkali mwingine wa timu ya taifa ya Uruguay na klabu ya PSG ndio
miongoni mwa washambuliaji wanapewa nafasi kubwa ya kusajiliwa na
Mashetani Wekundu.
Kama
Van Persie atakuwa ni mshambuliaji chaguo la tatu, atalazimika kuikacha
timu hiyo kwasababu nataka kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara
kwenye kikosi cha kwanza ili aweze kupata nafasi ya kuitwa kwenye kikosi
cha Uholanzi kitakachoshiriki michuano ya Euro mwaka 2016.
United
tayari wako sokoni kutafuta mshambuliaji wa kuchukua nafasi iliyoachwa
na Radamel Falcao na wanaweza wakamuuza Javier Hernandez ‘Chicharito’ na
kumtoa kwa mkopo James Wilson.
Category: uingereza
0 comments