SUAREZ AFUNGA TENA BARCELONA IKIITWANGA VALENCIA BAO 2-0

Unknown | 10:15 AM | 0 comments


LUIS SUAREZ AMEFUNGA TENA NA KUISAIDIA TIMU YAKE YA BARCELONA KUITWANGA VALENCIA KWA MABAO 2-0 HUKU IKIUSOGELEA UBINGWA WA LA LIGA. BAO LA PILI LILIFUNGWA NA LIONEL MESSI.



Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments