AZAM FC KUMPOKEA WAWA
![Photo: Baada ya kiungo Amri Kiemba kusajiliwa na kuanza mazoezi na timu, Azam Fc kesho inatarajia kumpokea beki aliyesajiliwa hivi karibuni, Pascal Wawa majira ya saa 3 asubuhi akitokea kwao nchini Ivory Coast na atajiunga mara moja na kikosi chetu kwa ajili ya maandalizi ya mechi zinazotukabili msimu huu.](https://fbcdn-sphotos-e-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xpf1/v/t1.0-9/p403x403/10710650_867300413310316_6560324550364402243_n.jpg?oh=a2d72cf49b24b585a2e6717c8f3dd5b6&oe=5519AAB5&__gda__=1427863816_fd1ea540b8b326d80ffcd54b6c6bbcea)
Baada ya
kiungo Amri Kiemba kusajiliwa na kuanza mazoezi na timu ya Azam Fc. Timu
hiyo inatarajia kumpokea beki aliyesajiliwa hivi karibuni, Pascal Wawa
majira ya saa 3 asubuhi akitokea kwao nchini Ivory Coast na atajiunga
mara moja na kikosi cha timu hiyo kwa ajili ya maandalizi ya mechi za
ligi kuu msimu huu pamija na mechi za kimataifa.
Category: tanzania
0 comments