ANGALIA PICHA YANGA JINSI WALIVYOWAPIGISHA KWATA MAAFANDE WA PRISONS!
Mshambuliaji wa Yanga, Genilson Santana 'Jaja' akimpongeza mwenzake Andrew Coutinho (wa kwanza kushoto) aliyeifungia Yanga bao la kwanza dhidi ya Prisons katika Uwanja wa Taifa, Dar leo.
Category: tanzania
0 comments