MANAGER WA MANCHESTER UNITED DAVID MOYES ATIMULIWA

Unknown | 8:34 PM | 0 comments

David Moyes.

Taarifa tulizozipata kutoka kwenye Ukurasa wa Manchester United kupitia twitter zinasema kuwa Kocha Wa Manchester United David Moyes ametupiwa Virago kuifundisha timu hiyo.

Kupitia Ukurasa wa Manchester United katika Mtandao wa Kijamii wa Twitter wameandika " Manchester United announces that David Moyes has left the club. (part 1 of 2) #mufc"

"The
club would like to place on record its thanks for the hard work,
honesty and integrity he brought to the role. (part 2 of 2)"

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments