HIZI HAPA MECHI KALI ZA LEO NA KESHO ZA KOMBE LA FA

Unknown | 9:34 AM | 0 comments

 

LIGI KUU ENGLAND Wikiendi hii itakuwa ‘mapumziko kidogo kupisha Mechi za Raundi ya Tano za FA CUP ambazo zitachezwa Jumapili na Jumatatu.

Jumapili Februari 16
16:30 Everton v Swansea
18:00 Sheff Utd v Nottm Forest
19:00 Arsenal v Liverpool
Jumatatu Februari 17
2245 Brighton v Hull

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments