EXCLUSIVE : MATOKEO YA KIDATO CHA NNE YAMETOKA, ANGALIA MATOKEO HAPA
Matokeo ya Kidato cha nne 2013
yatangazwa, kiwango cha ufaulu chapanda kwa asilimia 15.17 kutoka
asilimia 43.08 mwaka 2012 hadi 58.25 mwaka 2013.
Watahiniwa wafaulu zaidi katika somo la Kiswahili (67.77%), na wafanya
vibaya zaidi Basic Mathematics (17.78%).
KUYAONA MATOKEO HAYA BOFYA >>>>>HAPA <<<<
Category:
0 comments