BARCA ILIVYOTUA ENGLAND KUIKABILI MAN CITY
Lionel Messi na Gerard Pique muda mfupi baada ya kushuka kwenye uwanja wa ndege wa Manchester Carles Puyol na Cesc Fabregas
Twenzetu!Neymar Mapema!!! Nyota wa klabu ya Barcelona wakiwa katika ndege tayari kwa safari yao kuelekea nchini UIngereza kwa ajili ya mchezo dhidi ya Manchester City.
Category: uingereza
0 comments