REAL YAITUNGUA 1-0 KOMBE LA MFALME, RONALDO...

Unknown | 6:43 AM | 0 comments


Tik tak; Ronaldo akipiga tik tak katika Robo Fainali ya Kwanza ya Kombe la Mfalme usiku huu dhidi ya Espanyol. Real ilishinda 1-0.
WINGA Gareth Bale ametumia kichwa chake kuitengenezea bao pekee la ushindi Real Madrid ikiifunga Espanyol 1-0 katika mechi ya kwanza ya Robo Fainali ya Kombe la Mfalme Hispania.
Mchezaji huyo ghali wa Real, aliunganisha kwa kichwa krosi kutoka kwa Alvaro Arbeloa kipindi cha kwanza kumsetia Karim Benzema kufunga bao hilo dakika ya 25.
Hiyo ilikuwa ni pasi nane ya bao kwa Bale Real msimu huu ambayo inaitengenezea mazingira azuri timu yake kuelekea mchezo wa marudiano wiki ijayo.
Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo alicheza na alifanya vitu adimu, mara kadhaa akikariabia kufunga, bila mafanikio.
Taking the lead: Real Madrid striker Karim Benzema (left) opened the scoring after 25 minutes
Taking the lead: Real Madrid striker Karim Benzema (left) opened the scoring after 25 minutes


Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2543569/Espanyol-0-Real-Madrid-1-match-report-Bale-assists-Benzema-visitors-victory.html#ixzz2rAc2tEHV
Follow us:
@MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments