FRIENDLY MATCH: ENGLAND 0 v CHILE 2, ALEX SANCHEZ AICHINJA ENGLAND,ATUPIA BAO MBILI PEKE YAKE!

Unknown | 9:30 PM | 0 comments

Winner: Sanchez headed the visitors in front after seven minutes, leaving debutant Fraser Forster stranded

Bao mbili za mchezaji wa Barcelona Alex Sanchez dakika ya 7 kipindi cha kwanza na la dakika za lala salama dakika za mwishoni kwenye dakika za nyogeza 90+5 zimetosha kuzamisha kikosi cha timu ya England kinachoongozwa na kocha Roy Hodgson kwenye mchezo wao wa kirafiki. SPT_AHR_151113 International Friendly England v Chile Pictures Andy Hooper/ Solo Syndication  Alexis Sanchez scores 0-1Sanchez akipomgezwa baada ya kufunga bao!!

Winner: Sanchez headed the visitors in front after seven minutes, leaving debutant Fraser Forster stranded
Sanchez akimfunga kipa wa England Fraser Forster 
ChileWachezaji wa England Hoi!!
Special moment: Frank Lampard receives a golden cap from his dad to mark his 100th apperance
Frank Lampard mapema alituzwa kabla ya mtanange!!
Frustrated: England manager Roy Hodgson can't hide his annoyance as his side struggle against Chile
Meneja wa England  Roy Hodgson kivyake vyake katika sehemu yake kipindi cha kwanza akiwa anababaika baada ya kufungwa bao la kwanza katika dakika ya 7 a Sanchez.
England manager Roy HodgsonMeneja wa England  Roy Hodgson Hoi!!
Missed opportunities: Phil Jones (above) and Adam Lallana (below) failed to convert chances for England
Phil Jones na Adam Lallana wakishindwa kufunga bao hapa!!
Adam Lallana miss
VIKOSI:
England: Forster, Johnson, Baines, Milner (Defoe 66), Cahill, Jones (Smalling 57), Wilshere (Cleverley 71), Lampard (Henderson 71), Lallana (Barkley 77), Rooney, Rodriguez (Townsend 57).
Subs not used: Ruddy, Cole, Gibbs, Jagielka, Hart.
Booked: Cahill, Smalling.

Chile: Bravo, Mena, Gonzalez, Isla (Jara 59), Fernandez (Gutierrez 46), Beausejour (Fuenzalida 82), Medel, Aranguiz (Carmona 46), Diaz, Alexis, Vargas (Munoz 71). 
Subs not used: Toselli, Silva, Valdivia, Rojas, Fernandes, Herrera.
Goals: Sanchez 7, 90+5
Booked: Beausejour, Jara.
Referee: Florian Meyer (Germany)

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments