BARCELONA YAICHAPA ESPANYOL 1-0, LA LIGA NA KUKWEA KILELENI

Unknown | 9:18 AM | 0 comments

Deadlock: Sanchez's goal saw Barca finally break through a resolute Espanyol side

Alexis Sanchez alifunga bao la pekee jana na kuipa ushindi jana Ijumaa usiku timu yake ya Barcelona kipindi cha pili dakika ya 68. Licha ya Watani na Jirani zao Espanyol kufungwa bao hilo moja walijitahidi kucheza na Vinara hao wa Spain jana usiku baada ya kuwakomalia Barca.

Bao hilo lilipatikana baada ya patashika ya mchezaji Neymar kuwaendesha wachezaji wawili madifenda wa Espanyol na hatimaye Sanchez kufunga bao hilo dakika ya 68 ya mchezo huo kipindi cha pili. 

Ushindi huu ni wa 21 mfululizo kwa Barca Uwanjani kwao Nou Camp unawaweka juu zaidi kileleni wakiwa na pointi 34 nyuma ya alama nne ya Atletico Madrid ambao jumapili watacheza na Athletic Bilbao na ikiwa ni alama 9 zaidi ya mahasimu wao Real Madrid ambao watacheza na Rayo Vallecano kesho jumapili.
Deadlock: Sanchez's goal saw Barca finally break through a resolute Espanyol side
Mchezaji Sanchez akipongezwa na wenzie baada ya kuifungia bao dhidi ya Espanyol
Wizardry: Neymar twists and turns past the Espanyol defence
Neymar akipangua walinzi wa Espanyol
Frustration: Barca's Dani Alves looks exasperated after missing a chance
Dani Alves baada ya kukosa nafasi ya wazi!!
Taking a tumble: Neymar and Espanyol's defender Hector Moreno tussle on the ground
Majanga: Neymar na Hector Moreno wakiangushana chini baada ya patashika kutaka kufunga bao
Pass master: Andres Iniesta (left) takes the ball away from Espanyol's Victor SanchezMzee wa pasi Andres Iniesta akimchomoka Victor Sanchez
VIKOSI:
Barcelona: Valdes, Alves, Pique, Mascherano (Bartra 88) , Montoya, Xavi, Busquets, Iniesta (Fabregas 86), Sanchez (Pedro 83), Messi, Neymar
Subs not used: Pinto, Song, Tello, Roberto

Espanyol: Casilla, Rodriguez, Sidnei, Moreno, Fuentes, Sanchez, Lopez, Thievy (Cordoba 63), Abraham (Lanzarote 83), Torje, Garcia
Subs not used: Parreno, Tejera, Capdevila, Colotto, Fernandez 
Attendance: 79,977

RATIBA/MATOKEO 
Ijumaa Novemba 1
Athletic de Bilbao 2 Elche CF 2    
Real Betis 0 Levante          0
FC Barcelona 1 RCD Espanyol 0
Jumamosi Novemba 2
18:00 Real Sociedad v Osasuna
20:00 UD Almeria v Real Valladolid
22:00 Rayo Vallecano v Real Madrid CF
Jumapili Novemba 3
00:00 Sevilla FC v Celta de Vigo
14:00 Getafe CF v Valencia
19:00 Atletico de Madrid v Athletic de Bilbao
21:00 Levante v Granada CF
23:00 Malaga CF v Real Betis
Jumanne Novemba 5
00:00 Elche CF v Villarreal CF

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments