KIM POULSEN AHAHA KUSAKA NYOTA WAPYA TAIFA STARS

Unknown | 9:24 AM | 0 comments

 
Kocha Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mdenmark, Kim Poulsen akiwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jana kufuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Ashanti United na Prisons ya Mbeya, ili kusaka vipaji kwa ajili ya timu yake. Ashanti ilishinda 2-1. Stars inadhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia ya Kilimanjaro Premium Lager. 

Kim akimuona mchezaji aliyemvutia uwanjani anachukua namba ya jezi yake anaandika, kisha anamtafuta kwenye karatasi kwenye orodha ya vikosi ili kupata jina lake

Alikuwa na kocha wa timu za vijana, Mdenmark mwenzake, Jacob Michelsen kulia

Wachezaji wakionyesha uwezo katika mechi ya jana

Na Bin Zubeiry

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments