KAMPENI ZA NANI MTANI JEMBE ZATIKISA KANDA YA ZIWA
Mkazi wa Misungwi ndg Maiko Sabuni akishangilia kwa kupiga push up baada ya kushinda mchezo wa danadana katika kampeni za NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya Kilimanjaro ktk baa ya Madaha Green Park tar 19/10/13
Madaha green park Misungwi kwenye kampeni za NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya Kilimanjaro
Shabiki wa timu ya Simba ndg Ramadhan akifurahia kupata jezi ya timu yake baada kushinda ktk jukwaa,
Hii ni ktk kampeni za NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya Kilimanjaro
kwenye baa ya Magaha green park katika mji wa Misungwi Mwanza tar
19/10/13.
Shabiki wa Yanga Emanuel Jacob akifurahia kuvalishwa jezi ya timu yake baada ya ushindi jukwaani mjini Misungwi ktk kampeni za NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya Kilmanjaro Premium Lager.
Wakazi
wa Magu wakishiriki zoezi la kupiga mpira wa penati ukiwa umefungwa
kutambaa usoni, ni katika kampeni za NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya
KILIMANJARO ktk baa ya Spears ClassicLoge Magu.
Category: tanzania
0 comments