GHANA YAIFUMUA MISRI 6-1 KUFUZU KOMBE LA DUNIA, ASAMOAH GYAN APIGA MBILI, MUNTARI...
Mohamed Aboutrika aliifungia bao pekee Misri kwa penalti dakika ya 41, kabla ya Majeed Waris kuifungia Ghana dakika ya 44, Sulley Muntari akafunga kwa penalti dakika ya 72 na mchezaji mpya wa Chelsea, Christian Atsu akahitimisha karamu ya mabao ya Ghana dakika ya 87.(P.T)
Kikosi cha kilikuwa; Ghana: Dauda,
Inkoom, Akaminko, Sumaila, Opare, Essien, Muntari/Badu dk83, K Asamoah, A
Ayew/Atsu dk83, Waris, Gyan/Wakasu dk79.
Misri: Ekrami/El Shenawy dk57, A Fathi, W Gomaa, Nagieb, Shedid/Shikibala dk46, Ashour/Mehamadi dk40, Ghaly, El Neny, Aboutrika, W Soliman na M Salah.
Chanzo:bongostaz.blogspot.com
Misri: Ekrami/El Shenawy dk57, A Fathi, W Gomaa, Nagieb, Shedid/Shikibala dk46, Ashour/Mehamadi dk40, Ghaly, El Neny, Aboutrika, W Soliman na M Salah.
Chanzo:bongostaz.blogspot.com
Category: uingereza
0 comments